Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Sambamba na dushePapuchi
Unasemaje mdogo wangu? Naona unanizingatia"Mkuu"
Maneno maarufu hapa JFUnasemaje mdogo wangu? Naona unanizingatia
Sijakuelewa MkuuZamani kidogo kulikuwa na “wabeba box” “wapiga box” walipata shida sana enzi zile hawaishi kukejeliwa, siku hizi kila mtu analitamani box teh
Nimeelewa mnoooUngekuwa humu miaka ya nyuma ungeelewa, kuna wenzetu ambao wanaishi nje na kufanya kazi huko sasa kuna baadhi ya kazi ndizo zikatungiwa jina “kubeba box” umeelewa?