Orodha ya matajiri na mabilionea wakubwa duniani

Orodha ya matajiri na mabilionea wakubwa duniani

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,768
Reaction score
3,622
Tajiri na bilionea wa kwanza duniani – Carlos Slim Helu wa Mexico

image1.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$74 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Telecom
Umri: 71
Uraia: Mexico

Tajiri na bilionea wa pili duniani – Bill Gates wa Marekani

image3.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$59 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Microsoft, umachinga
Umri: 55
Uraia: Marekani

Tajiri na bilionea wa tatu duniani – Bernad Arnault wa Ufaransa

image4.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$41 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: LVMH, mali ya uridhi na kuendeleza
Umri: 62
Uraia: Ufaransa

Tajiri na bilionea wa nne duniani – Warren Buffett wa Marekani

image5.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$39 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Berkshire Hathaway, umachinga
Umri: 80
Uraia: Marekani

Tajiri na bilionea wa tano duniani – Larry Ellison wa Marekani

image6.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$33 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Oracle, umachinga
Umri: 66
Uraia: Marekani

Na. 6 Lakshmi Mittal

image7.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$31.1 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Steel, mali ya uridhi na kuendeleza ,
Umri: 60
Uraia: India

Na. 7 Amancio Ortega

image8.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$31 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Zara, umachinga
Umri: 74
Uraia: Uhispania

Na. 8 Eike Batista

image9.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$30 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Mining, oil, umachinga
Umri: 54
Uraia: Brazil

Na. 9 Mukesh Ambani

image10.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$27 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: petrochemicals, oil & gas, mali ya uridhi and growing
Umri: 53
Uraia: India

Na. 10 Li Ka-shing

image12.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$26 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Diversified, umachinga ,
Umri: 82 ,
Uraia: Hong Kong

Na. 11 Karl Albrecht

karl-albrecht.jpg


Anamiliki utajiri wa:$25.5 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Aldi, umachinga
Umri: 91
Uraia: Ujerumani

Na. 12 Charles Koch (tie)

image13.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$25 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Diversified, mali ya uridhi na kuendeleza
Umri: 75
Uraia: Marekani

Na. 13 David Koch (tie)

image14.jpeg


namiliki utajiri wa:$25 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Diversified, mali ya uridhi na kuendeleza
Umri: 70
Uraia: Marekani

Na. 14 Christy Walton & family (tie)

image15.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$24.5 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Walmart, mali ya uridhi
Umri: 56
Uraia: Marekani

Na. 15 Stefan Persson (tie)

image16.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$24.5 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Hennes & Mauritz
Umri: 63
Uraia: Sweden

Na. 16 Vladimir Lisin


image17.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$24 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: Steel, umachinga
Umri: 54
Uraia: Urusi

Na. 17 Liliane Bettencourt

image18.jpeg


Anamiliki utajiri wa: $23.5 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: L’Oreal, mali ya uridhi
Umri: 88
Uraia: Ufaransa

Na. 18 David Thomson & family

image19.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$23 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri: media, mali ya uridhi
Umri: 53
Uraia: Kanada

Na. 19 Sheldon Adelson

image20.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$21.5 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: CasiNas, umachinga
Umri: 77
Uraia: Marekani

Na. 20 Jim Walton

image21.jpeg


Anamiliki utajiri wa:$21.1 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri: Walmart, mali ya uridhi
Umri: 63
Uraia: Marekani
 
Sasa hawa machinga kwanini waliondoka kariakoo? Kumbe umaskin tunajitakia wenyewe.
 
Kumbe we upo so yesterday,hizo ni za march 2011.orodha imetoka mpya this year.find it n' dont lie to us
 
tajiri namba 21, taarifa zimepatikana sasa hivi
kongosho, anamiliki utajiri wa $21.05 bil
umachinga na ususi.
 
Hakuna hata mmoja anayemiliki utajiri wa Trilioni mmoja hata?

Sio rahisi mkuu kwa sababu hata wao wana matumizi ya pesa. Kama wangekuwa wanazirundika bila kuzitumia basi tungekuwa na matajiri wa matrilionea.
 
Hakuna hata mmoja anayemiliki utajiri wa Trilioni mmoja hata?
kuna mtu anaitwa joseph rockeffeler ni trilionaire duniani na kamwe huwezi kumkuta kwenye orodha ya richest..anamiliki benki inaitwa federal reserve bank ya usa
 
kuna mtu anaitwa joseph rockeffeler ni trilionaire duniani na kamwe huwezi kumkuta kwenye orodha ya richest..anamiliki benki inaitwa federal reserve bank ya usa

Ya kweli hayo mkuu? Embu tupe details zaidi za utajiri wake.
 
Back
Top Bottom