Orodha Ya Matajiri Toka Tanzania

1.Dewji $1.36B
2. R. Aziz $900+m
3.Bakhresa$560+m

Dewji:
1. Tz
1.EA region
25th. in Africa
 
subiri nikachenjue mchanga wangu kwanza bado wameshikilia macontena yangu

Mkuu ukimalizana na makinikia uwaambie wa update orodha yao.

Wakumbushe wasimsahau na bosslady
 


Umenisahau mkuu sijaona jina langu hapo!!!!
 
Mbona Diamond Hayupo Kwenye Orodha? Wako Wap Timu Domo Tuandamane?
 
Inavyoonekana waislam ni matajiri sana Tanzania kuliko wengine maana ktk iyo orodha waislam ni 8/10
 
Hii list yauongo kabisa, kwa mujibu wa Forbes nambari 1 ni mo dewji
 
Aliye na mawasiliano ya simu ya Bakherasa,Mengi,Sabodo,Mo Dewji,Gwajima,Diamond na Mfuruki naomba anitumie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…