Orodha ya Matajiri wakubwa Afrika

Orodha ya Matajiri wakubwa Afrika

Drop shipping Tanzania

Senior Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
198
Reaction score
481
Salute!!

Habari wakuu ebwana Leo nipo na morali kabisa nakuletea orodha ya matajiri wakubwa zaidi Africa.

= Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika

Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni.

Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana.

Wafanyabiasha kutoka Nigeria Femi Otedola na Abdulsamad Rabiu hawakufanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo mwaka huu.

Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $1.09 bilioni.

Bw Dangote Dangote, ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Dangote Cement inayoongoza kwa kuzalisha saruji Afrika. Anamiliki asilimia 90 ya hisa za kampuni hiyo.

Dangote Cement huzalisha tani 44 milioni za saruji kila mwaka na imepanga kuongeza uzalishaji kwa asilimia 33 kufikia 2025.

Dangote pia anamiliki hisa katika kampuni za chumvi, sukari na unga.

Mohammed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970.

Kampuni hiyo huhusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta.

Kampuni hiyo huendesha shughuli zake katika zaidi ya mataifa sita barani Afrika.

Mabilionea 25 wa Afrika

1. Aliko Dangote, Nigeria

Utajiri: $12.2 bilioni

2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini

Utajiri: $7 bilioni

3. Mike Adenuga, Nigeria

Utajiri: $6.1 bilioni

4. Johann Rupert, Afrika Kusini

Utajiri: $6.3 bilioni

5. Nassef Sawiris, Misri

Utajiri: $6.2 bilioni

6. Christoffel Wiese, Afrika Kusini

Utajiri: $5.9 bilioni

7. Nathan Kirsch, Swazi land

Utajiri: $3.9 bilioni

8. Naguib Sawiris, Misri

Utajiri: $3.8 bilioni

9. Isabel dos Santos, Angola
Utajiri: $3.1 bilioni

10. Issad Rebrab, Algeria
Utajiri: $3 bilioni

11. Mohamed Mansour, Misri

Utajiri: $2.7 bilioni

12. Koos Bekker, Afrika Kusini

Utajiri: $2.1 bilioni

13. Allan Gray, Afrika Kusini

Utajiri: $1.99 bilioni

14. Othman Benjelloun, Morocc o

Utajiri: $1.9 bilioni

15. Mohamed Al Fayed, Misri

Utajiri: $1.82 bilioni

16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini

Utajiri: $1.81 bilioni

17. Yasseen Mansour, Misri

Utajiri: $1.76 bilioni

18. Folorunsho Alakija, Nigeria
Utajiri: $1.61 bilioni

19. Aziz Akhannouch, Morocco

Utajiri: $1.58 bilioni

20. Mohammed Dewji, Tanzania
Utajiri: $1.4 bilioni

21. Stephen Saad, Afrika Kusini

Utajiri: $1.21 bilioni

22. Youssef Mansour, Misri

Utajiri: $1.15 bilioni

23. Onsi Sawiris, Misri

Utajiri: $1.14 bilioni

24. Anas Sefrioui, Misri

Utajiri: $1.06 bilioni

25. Jannie Mouton, Afrika Kusini

Utajiri: $1 bilioni
 
Ngoja na mm niendelee kupambana baada ya miaka 5 niwepo kwenye hii list, inshallah
 
Jiwe alisema anazalisha mabilionea wengi mbona siwaoni kwenye list yupo wa mzee mwinyi(MO).

Au ndo no 26 pamoja na alkiba
 
Only four countries. Nigeria,South Africa,Egypt na Tz.
Halafu ukute hao ukiunganisha utajiri wao wamezizidi nusu ya nchi za Africa.
 
Ukiisoma Mohammed Enterprises utagundua jamaa wana mengi wanajishughulisha na vingi mno.

Sema product zao nyingi hizi consumable goods ni kiwango duni amewalenga watanzania wenye kipato cha chini mno ambao ni wengi sana na ndo kwenye hela sasa mfano juices zake, tambi zake, blue band unga wa ngano.

Sema tu wengi tunajua bidhaa zake chache.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majirani naona hawako tuwe makini wasije wakasema yupo nchini kwao.
 
Salute!!

Habari wakuu ebwana Leo nipo na morali kabisa nakuletea orodha ya matajiri wakubwa zaidi Africa.

= Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika

Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni.

Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana.

Wafanyabiasha kutoka Nigeria Femi Otedola na Abdulsamad Rabiu hawakufanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo mwaka huu.

Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $1.09 bilioni.

Bw Dangote Dangote, ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Dangote Cement inayoongoza kwa kuzalisha saruji Afrika. Anamiliki asilimia 90 ya hisa za kampuni hiyo.

Dangote Cement huzalisha tani 44 milioni za saruji kila mwaka na imepanga kuongeza uzalishaji kwa asilimia 33 kufikia 2025.

Dangote pia anamiliki hisa katika kampuni za chumvi, sukari na unga.

Mohammed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970.

Kampuni hiyo huhusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta.

Kampuni hiyo huendesha shughuli zake katika zaidi ya mataifa sita barani Afrika.

Mabilionea 25 wa Afrika

1. Aliko Dangote, Nigeria

Utajiri: $12.2 bilioni

2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini

Utajiri: $7 bilioni

3. Mike Adenuga, Nigeria

Utajiri: $6.1 bilioni

4. Johann Rupert, Afrika Kusini

Utajiri: $6.3 bilioni

5. Nassef Sawiris, Misri

Utajiri: $6.2 bilioni

6. Christoffel Wiese, Afrika Kusini

Utajiri: $5.9 bilioni

7. Nathan Kirsch, Swazi land

Utajiri: $3.9 bilioni

8. Naguib Sawiris, Misri

Utajiri: $3.8 bilioni

9. Isabel dos Santos, Angola
Utajiri: $3.1 bilioni

10. Issad Rebrab, Algeria
Utajiri: $3 bilioni

11. Mohamed Mansour, Misri

Utajiri: $2.7 bilioni

12. Koos Bekker, Afrika Kusini

Utajiri: $2.1 bilioni

13. Allan Gray, Afrika Kusini

Utajiri: $1.99 bilioni

14. Othman Benjelloun, Morocc o

Utajiri: $1.9 bilioni

15. Mohamed Al Fayed, Misri

Utajiri: $1.82 bilioni

16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini

Utajiri: $1.81 bilioni

17. Yasseen Mansour, Misri

Utajiri: $1.76 bilioni

18. Folorunsho Alakija, Nigeria
Utajiri: $1.61 bilioni

19. Aziz Akhannouch, Morocc o

Utajiri: $1.58 bilioni

20. Mohammed Dewji, Tanzania
Utajiri: $1.4 bilioni

21. Stephen Saad, Afrika Kusini

Utajiri: $1.21 bilioni

22. Youssef Mansour, Misri

Utajiri: $1.15 bilioni

23. Onsi Sawiris, Misri

Utajiri: $1.14 bilioni

24. Anas Sefrioui, Misri

Utajiri: $1.06 bilioni

25. Jannie Mouton, Afrika Kusini

Utajiri: $1 bilioni

Mimi mwenye kuku wawili wa kienyeji ngoja niende shamba.
 
Mimi nikajuaga azam ndo baba lao kumbe nikaja kuambiwa Mo ndio zaidi sasa tena tukivuka mipaka ndo anakuwa mbali hivyo sijui tukienda abroad atakuwa wapi jamani watu wana hela dunia hii!
 
Back
Top Bottom