ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Waarabu wa TaboraIfuatayo ni orodha ya mikoa/miji kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora
Source. OR-TAMISEMI-2018
Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
Kushanoga huko ukiona wilaya zake ziko vizuri kimapatoMim naenda mtwara
Sijui Tanga yetu ipo?Ifuatayo ni orodha ya mikoa/miji kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora
Source. OR-TAMISEMI-2018
Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
kutokuwemo Moshi kwenye list ni uthibitisho tosha kuwa kinu kilichochakata takwimu hizi kiko kule Chato!Ifuatayo ni orodha ya mikoa/miji kumi ambayo wananchi wake wana ahueni ya kipato hivyo muwekezaji/mfanyabiashara makini lazima uzingatie.
1.Dar
2.Dodoma
3.Arusha
4.Mwanza
5.Tanga
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mtwara
9.Pwani
10.Tabora
Source. OR-TAMISEMI-2018
Note..Kuna miji na mikoa haiko kwenye top ten list lakini iko vizuri kimapato mfano Kahama,Tunduma
Si ndyo wanalima korosho huko?Kushanoga huko ukiona wilaya zake ziko vizuri kimapato
YapSi ndyo wanalima korosho huko?
Ngoja waanze kuokota korosho tukapge hela.
Namba zinaongea sio vuvuzela,mbona Arusha ipo fungua tovuti ya Tamisemi utaonakutokuwemo Moshi kwenye list ni uthibitisho tosha kuwa kinu kilichochakata takwimu hizi kiko kule Chato!
Tumbaku na asali hasa wilaya ya Kaliua imepiga bao kwa pesa wilaya zote mkoa mzimatabora kuna nini tuelezena vyema
Tanga na Mwanza ni sawa mko vizuri sana hasa jijiSijui Tanga yetu ipo?
Ngoja niangalie
Tanga kwa biashara si kiivyoTanga na Mwanza ni sawa mko vizuri sana hasa jiji
Kumbuka hayo ni mapato ya ndani hayahusishi vyanzo vya TRA ko sidhani kama bomba linahusiana hapoTanga kwa biashara si kiivyo
Sema tu kwa sababu tumepata ule mradi wa Magufuli na Mu 7
Kwa yajayo litahusikaKumbuka hayo ni mapato ya ndani hayahusishi vyanzo vya TRA ko sidhani kama bomba linahusiana hapo
Ujue kigezo kilichotumika ni makusanyo ya jumla ya wilaya za mkoa husika hizo changamoto zingine ni countrywide japo baadhi ya mikoa kuna nafuuOR TAMISEMI ndio wametoa hii!? Naweza kubaliana nao kiasi fulani kwa mikoa minne ya mwanzo lakini iliyobakia kuna changamoto nyiingi sana hasa kwa biashara mpya(ingawa inategemea pia na aina ya biashara)
Bahati mbaya hao watoa takwimu/taarifa hizi wanamchango mkubwa sana katika kuvuruga mazingira ya biashara kwa sera za kodi zisizo rafiki, hii imeathiri sana hata uwezo wa kutumia/kununua wa wananchi(purchasing power) katika maeneo mengi nchini
Warekebishe na kuboresha kwanza mazingira ya watu kufanya biashara na kuwekeza ndipo waje na takwimu, tafiti na taarifa kama hizi vinginevyo inakua ni porojo za kisiasa tu