Orodha ya mikoa 10 inayofaa kuwekeza/kufungua biashara

Unapokoment bila kufanya research unakosea. Aliekwambia wachaga wanaendesha jj bila pesa ni nani? Umeshazunguka moshi jiji uone wachaga wanavyochapa kazi. Kama sijakosea takwimu za mwaka jana moshi ilikuwa juu ya mtwara so hako kamji ambacho hata hakajulikani kamwe hakawezi kuishinda moshi.

Check takwim zingine za kimapato zilitoka juzi.
Wapi upcoming city uchwara Moshi,wachaga mtaendeshaje jiji bila pesa yaani mnazidiwa na mji mdogo kama Nanyamba huko Ntwara aisee
 
Tuko mwaka huu sio mwaka jana
 
Tabora nimekataa. Labda kama unaenda kuwekeza kwa mademu wa kinyamwezi
Utaendelea kukataa hivyo hivyo hapo juu kuna majedwali ya Tamisemi soma sio unasikiliza hisia zako binafsi
 
Soon Morogoro itakua jiji maana wajuu wote washakua majiji
 
Ungetoa na aina ya fursa katika kila mkoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…