Orodha ya mikoa 10 inayofaa kuwekeza/kufungua biashara

Wapi upcoming city uchwara Moshi,wachaga mtaendeshaje jiji bila pesa yaani mnazidiwa na mji mdogo kama Nanyamba huko Ntwara aisee
Ha ha ha ha. Nanyamba ni kisehemu fulani cha Biashara. Kipo kati ya Mtwara mjini(70km) na Tandahimba(30km hivi)
 
Hizo ni Porojo tu. Wachaga wanaweza kuwa matajiri kwa kujenga sehemu tofauti tofauti. By the way,kiutajiri kama kwa nchi ambayo imewekeza haswa,miji yenye bandari ni miji tajiri by default. Ukichanganya na Gesi,Korosho hizo pekee Moshi tupa kule. Huo ndiyo ukweli mchungu.
 
Ha ha ha ha. Nanyamba ni kisehemu fulani cha Biashara. Kipo kati ya Mtwara mjini(70km) na Tandahimba(30km hivi)
Ndo mji makao makuu ya wilaya ya Tandahimba au vipi maana inaonekana pana mzunguko mkubwa wa pesa na nn shughuli kuu za uchumi hapo mjini?
 
Dar tena, c wamesema baada ya miaka 50 inazama tena wewe unashauri watu kwendda huko
 
Tabora ulipaswa uwe kwenye top five
 
Sijakupata mkuu una maana ipi kwa hii comment
Ulizungumzia Wilaya zake kwa mfano,nami nikagusia kwa mjini nao mji wao siyo haba,kwa maana umeweza kula sahani moja na Moro na kuizdi kidogo Moshi. Imekula sahani moja pia na Iringa,just to mention few.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…