Orodha ya Muvi bora 2020

Duuuh mkuu 76 Gb sio mchezo unatumia mtandao gani kupakua movies za ukubwa huo
 
Duuuh mkuu 76 Gb sio mchezo unatumia mtandao gani kupakua movies za ukubwa huo
Mkuu movie ya ukubwa huu inaweza kuchukua ht siku nzima ku download...ila kwa vile nishakua addicted na high quality videos nipo willing ku wait hadi imalize ku download..i prefer uncompressed video ili nipate all the details in it kuanzia video mpaka audio, yani ht ka upepo kakivuma kwa mbali na mimi nikaskie...abt mtandao nipo na Jamaa wa Zuku.
 
Pamoja mkuu
 
Wakuu samahani sana kama niliwashawishi mkatumia fedha zenu kuangalia WW84 Movie.
Kiukweli hii muvi inaboa sana sikutegemea...bora uangalie The Crood 2. Kwa jinsi Wonder woman ya 2017 ilivyokua bomba nilijua tu ya mwaka huu itakua nzuri zaifi ila Daaah.. DC na Warner Bros Studio wameniangusha sana.
Zack Snyder ajitafakari mwenendo wake kama anataka kutengeneza muvi bora kama Marvel studio..
Mimi napenda historical movies na drama+comedy movies. Movies ambazo ni fiction sana zinanishinda, mfano zote za Marvel studio sizifurahii, i hope umepata picha aina ya movies ambazo napenda rafiki...

'bloodshot too much computer'.

Za hivyo hua siangalii kabisaaaaaa.

Mi mwenyewe nilijutia MB zangu

Sent using Jamii Forums mobile app


Uliisifia sana nikawa na expectation za kupata kitu bora sana nimeona ni kawaida.....reality pia yaweza kuwa relevant...

Mzee baba Asante

Hivi hii tenet mbona sipati HD zilizopo muonekano mbovu na sauti haina quality
 
Pamoja mkuu, hiyo waga inatokea, unakuta umetulia weekend uchek movies ulizo download week nzima alafu unakuta zote mbaya hadi unatafuta ingine ya kurudia
 
Bila samahani Vinci, nimeiangalia majuzi nikasema yaleyale niliyokuwa namwambia Vinci... wamefanya utoto sana mule, stori mbaya dah. Wonder woman ya 2017 stori yake ilikuwa very interesting.
 
Bila samahani Vinci, nimeiangalia majuzi nikasema yaleyale niliyokuwa namwambia Vinci... wamefanya utoto sana mule, stori mbaya dah. Wonder woman ya 2017 stori yake ilikuwa very interesting.
Kwakweli nimesikitika sana, Character ya Diana Prince ni moja ya powerful character kwenye Comics. Ila hawajaitendea haki kabisa...Hakuna mapigano makali pia stori ipo hovyo. Nilikua naona Captain Marvel ndio muvi mbaya japo Carol Danvers ni powerful character ila hii WW84 ni kama mikia wa msimbazi tu!😆

Sijui DC hua wanakwama wapi kwenye muvi... Batman washaiharibu wameharibu na WW sasa...
Ngoja niisubirie tu Black Widow
 
Pamoja mkuu, hiyo waga inatokea, unakuta umetulia weekend uchek movies ulizo download week nzima alafu unakuta zote mbaya hadi unatafuta ingine ya kurudia
Kwakweli I was so disappointed.. luckily hua sipakui muvi.
Hata sijui niangalie muvi zipi kwa sasa
 
Acha kutafuta muvi nzuri anza na huzi
Doorman
Vanguard

Halafu uje kushukuru baadae
 
sjaona apo LACASA DE PAPEL bonge la movie
 
Ulipomtaja Adam, I knew you know movies - i know that by default. Tamathali za semi tu kuongeza utamu wa sentensi. Anyways, Mimi 2020 nimeutumia kufuatilia muvi za huyo mshikaji, and bruh! I enjoyed every second of staying front the Tv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…