Huyu jamaa hua nikimuangalia tu nacheka. Sura yake sio funny ila hua tu najikuta nacheka.. yaani U don't mess with zohan nainjoi sana ile rafudhi yakeUlipomtaja Adam, I knew you know movies - i know that by default. Tamathali za semi tu kuongeza utamu wa sentensi. Anyways, Mimi 2020 nimeutumia kufuatilia muvi za huyo mshikaji, and bruh! I enjoyed every second of staying front the Tv.
tenet hamna mambooSijaicheki hiyo kiongozi, Ngoja usiku nitaitafuta. Vipi Tenet
apo sawa itakua ajaichekiiNadhani kwakuwa Mshkaji anaongelea single movies ndomana hujaiona hapo
[emoji23][emoji23]Uliuchuna zako asee
Peaky blinders aisee ni noumaaNimesikitika sana kuona John wick chapter 3 imetajwa na mdau mmoja tu, kwa miaka 3 mfululizo ukitaja movie 5 bora huwezi acha John wick labda upange kwa genre, anyway best series mwaka 2020 kwangu ilikuwa
1.Gangs of London
2.Peaky blinders
Ila best series of all time ni Breaking bad, kwa upande wangu