Orodha ya nchi zilizositisha utoaji wa chanjo ya Astrazeneca

Orodha ya nchi zilizositisha utoaji wa chanjo ya Astrazeneca

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Jumla ya nchi saba tayari zimesitisha utoaji wa chanjo💉 ya Astrazeneca:

✓ Denmark
✓ Iceland
✓ Austria
✓ Estonia
✓ Lithuania
✓ Luxembourg
✓ Latvia

Sababu ya kusimamishwa kwa shughuli hii ni kesi nyingi za watu kurudi hospitali na kugundulika damu yao inaganda, hali ambayo imezua hofu.

Je, chanjo hii ni salama ?

Mataifa mengi Africa ikiwemo Kenya yameshaipokea.

20210311_163954 (1).jpg
 
La kuzingatia ni kwamba chanjo zipo kwenye majaribio ila tatizo linakuja pale tunapotaka kulazimishana kuchanjana hizo chanjo kwa kutengeneza mazingira ya kwamba ni lazima uchanjwe ndio upate huduma fulani wakati chanjo zenyewe hali yake ndio kama hiyo.
 
Mi na watu wangu wa karibu kibao tuu wameshachanja, yaani nawashangaa sana. Sasa hivi hata ukienda walmart wanatoa chanjo bure. Mimi ni heri nife kuliko kuchanja, corona yenyewe nilishaipata ikadunda.
 
Jumla ya nchi saba tayari zimesitisha utoaji wa chanjo💉 ya Astrazeneca:

✓ Denmark
✓ Iceland
✓ Austria
✓ Estonia
✓ Lithuania
✓ Luxembourg
✓ Latvia

Sababu ya kusimamishwa kwa shughuli hii ni kesi nyingi za watu kurudi hospitali na kugundulika damu yao inaganda, hali ambayo imezua hofu.

Je, chanjo hii ni salama ?

Mataifa mengi Africa ikiwemo Kenya yameshaipokea.

View attachment 1722881
South Africa je?
 
Back
Top Bottom