Orodha ya safari za JK 2007

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Haya tena kile kikosi cha CSI cha JF tunaomba mtupe listi kamili ya orodha za safari alizozifanya JK mwaka huu

Kisha tuangalie zipi zilikuwa na ULAZIMA na zipi zilikuwa hazina ulazima kisha tufanye na estimate ya Msafara wake mmoja unawacost kiasi gani walipa kodi wa Tanzania

Kazi kwenu JF team
 
inaelekea we are not as informed as we like to think we are
 
kilemamarangu
mimi nilitaka kuwapa some good news lakini ikaonekana unawalinda watu fulani fulani. siko tayari kuchangia hoja ya safari za JK hata kama ninafahamu what is going on.
 
wewe changia tu hakuzuii mtu nchi hii kulinda ni suna wala usiwaogope hao ndio zao wanakula na kulala pazuri tufight maisha yetu mpaka kieleweke.
 
Safari ya Zanzibar-7 days,haijulikani alikwenda kufanya nini ila alifikia kempski
 
zoezi la ufukuaji makaburi linaendelea tunaomba ushirikiano wenu wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…