Orodha ya Simu 10 bora kwa camera

NJOONI MCHUKUE GOOGLE PIXEL 3A
Offline market FULL Boxed (cover, fast charge, otg , protector , ejector)
Ram 4 Gb
Rom 32 Gb
Android 11
Excellent Camera 12 mp (4k vids, Portrait, night sight, Astrophotography )
Bei 580k negotiable kidogo
Nipo Sinza
NO EXCHANGE
0682521021
 
Hamna kitu hapo. Hio s20ultra ilishindanishwa na iphone11 promax. Iphone alishinda huenda hio list wameangalia megapixels
 
Hamna kitu hapo. Hio s20ultra ilishindanishwa na iphone11 promax. Iphone alishinda huenda hio list wameangalia megapixels

wenzako wanakwenda mbali zaidi hawaishii sifa moja moja.
 
So far review zinasema iphone 12 ipo kwenye ligi ya peke yake. 12 ni habari nyingine. Nakumbuka maneno ya jobs kwamba ange spend everything to kill android , sasa naona apple wakiamua kuizika android ni dk 0 .

Mkbhd ameandika “DAMN GOOD”

The verge: wameandika NEW STANDARD

 
kuizika android itabaki kuwa ndoto aliyotangulia nayo mbele za haki.

mapungufu yaliyopo android ni madogo sana na yanarekebishwa kila mwaka,muone huawei kabla hajala kabali alikuwa anamfanya kitu gani apple.kirin ilikuwa na speed nzuri sana ukiachana na camera nk.
 

Sumu gani ya huawei (flagship) imeuza kuliko iphone katika category ya flagship ?
 
Sumu gani ya huawei (flagship) imeuza kuliko iphone katika category ya flagship ?

haipo.

naitaja huawei kama kampuni inayoibukia sokoni.wewe unaona ilikuwa inaashiria mema kwa kampuni kubwa na ujio wake!!!!
 
Mkuu hili suala imenibidi nifatilie kidogo. Walinijaza sana ujinga hawa wapuuzi ila majuzi hapa nikashtuka kuona mbona wanazikusa sana simu za Xiaomi na kuzipondea Samsung. Wanasifia simu ila kama mfuatiliaji wa kawaida unashangaa mbona wamekuza. Mfano kwenye hii list hizo Honor nyingi hivo hazikustahili ingawa ni ya 2020
 
Mimi 2017 niliona wapigaji, walitangaza kwamba makampuni ya simu yashirikiane na wao ku optimize simu zao kwa ajili ya Dxomark, OnePlus akaenda, baada ya muda mfupi a kapewa score kubwa kushinda hata iPhone, na scenario zingne zaidi ya s8.

Mimi upgrade path yangu nikitoka note 5 kwenda op 5T na nili downgrade sana Camera na display, hawa jamaa waganga njaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…