Orodha ya video zilizotizamwa zaidi Tanzania

Sio za mziki, Hapa tunzaungumzia Video kumi bora za Tz zilizoongozwa kutazamwa.

Nitaftie hata video moja tu iwe ya ngono au yoyote ya Bongo iliyofika views milioni 30!!
Mkuu si ndiyo umezitaja hapo huu!!? Haha

Zinatazamwa na wapenda ngono siyo sababu ni wabunifu au zina ujumbe wa Maana ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…