Orodha ya Vifaa kwa ajili ya Biashara ya Kuchomelea

Orodha ya Vifaa kwa ajili ya Biashara ya Kuchomelea

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,680
Reaction score
2,779
Kama kichwa kinavyoeleza wanajamvi,

La zaidi namaanisha uchomeleaji vyuma kwa ajili ya Furniture na hata Mageti n.k

Naomba kusaidiwa nini na nini kinahitajika.

Karibu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arc welding machine
Grinder
Power hand drill machine
Hacksaw
Bench vice

Siyakukothamela Sonini na nini
 
Je wewe ndiye Fundi, au unataka kuajiri mtu, je upo kona gani Tanzania, kama upo morogoro mjini au DSM, Nakupa fursa, kuwa usinunue kitu chochote wewe tafuta location tu lipa pango na umeme. Vingine vyote mimi nitatoa ili tuwe share. Mimi nina uzoefu sana wa kazi hii kwa zaidi ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom