Je wewe ndiye Fundi, au unataka kuajiri mtu, je upo kona gani Tanzania, kama upo morogoro mjini au DSM, Nakupa fursa, kuwa usinunue kitu chochote wewe tafuta location tu lipa pango na umeme. Vingine vyote mimi nitatoa ili tuwe share. Mimi nina uzoefu sana wa kazi hii kwa zaidi ya miaka 10.