Orodha ya vyuo bora na kozi wanazotoa

Orodha ya vyuo bora na kozi wanazotoa

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
1,369
Reaction score
489
ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa;

UDSM-law,engineering,accounting

MZUMBE-law,accounting ,human resource

TIA-accounting

DIT-tengineering

SUA-veternary medicine,agriculture engineering,agronomy,water resource and irrigation engineering

IFM-banking&finance
 
Ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa UDSM>LAW,ENGINEERING,ACCOUNTING MZUMBE>LAW,ACCOUNTING ,HUMAN RESOURCE TIA>ACCOUNTING DIT>ENGINEERING SUA>Veternary medicine,agriculture engineering,agronomy,water resource and irrigation engineering IFM>Banking&finance

kwanza ni maoni yako au kuna chanzo chochote ambacho umecite from it hii orodha?
kama una chanzo(source) kiweke hapa.
maanaa hiyo mzumbe na law nimeshikwa na mshtuko kidogo ndo maana nikakuuliza.law ya miaka mitatu kwa ngazi ya shahada ya kwanza?na yenye mwalimu profesa mmoja tuu kwenye faculty?ndo iishide law ya UDSM&SAUT..
WE DOGO UNA MZIMU UNAKUSUMBUA.TAFUTA TIBA KWA MANYAUNYAU
 
Ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa UDSM>LAW,ENGINEERING,ACCOUNTING MZUMBE>LAW,ACCOUNTING ,HUMAN RESOURCE TIA>ACCOUNTING DIT>ENGINEERING SUA>Veternary medicine,agriculture engineering,agronomy,water resource and irrigation engineering IFM>Banking&finance

Natamani kweli kujua kozi uliyosoma na kama wewe ni bora
 
Hapana mkuu ardhi wanaongoza kwa kozi za architechture,land mgt

is dats all???
Vipi kuhusu unique courses africa mashariki na kati kama land surveving,,geinformatics(udom imewashinda),buildind eco,,planning,,environmental,,,industrial n civil engineering mkuu?
hawako competent katika izo??
 
Endeleeni kuweka orodha ya vyuo bora, huku salary slip za watu zinasoma fresh tu.....

unaakili wewe! Mi mwenyewe nawashangaa, wanashindanisha vyuo wakati mi najua nikitoka zangu TEKU salary slip kama ya huyo aliyetoka UDSM. Wataishia kujisifia tu, cha msingi mi napata content inayotakiwa.
 
oooh UDOM chuo cha kata, ndo nimeshapata degree yangu nishapata kazi salary slip inasoma
walomaliza vyuo bora wapo kitaa mwaka wa tano wanatafuta kazi
walomaliza juma training college wapo wanakula mshahara!!!!!
acha waendelee kumwaga list za vyuo bora
 
Uko sahihi, na kwa taarifa yako serikali imepanga mshahara hadi ngazi ya bachelor basi, sasa jiulize masters/ phd ya nini?

Funguka ndugu.
 
oooh UDOM chuo cha kata, ndo nimeshapata degree yangu nishapata kazi salary slip inasoma
walomaliza vyuo bora wapo kitaa mwaka wa tano wanatafuta kazi
walomaliza juma training college wapo wanakula mshahara!!!!!
acha waendelee kumwaga list za vyuo bora

Unajua serikali imepanga mshahara hadi bachelor basi?
Swali masters/phd/profesor ya nini?

Funguka ndugu.
 
Did i tell you kuwa ni mpuuzi?Wewe ni mpuuzi.

Go and find out the meaning.
 
is dats all???
Vipi kuhusu unique courses africa mashariki na kati kama land
surveving,,geinformatics(udom imewashinda),buildind
eco,,planning,,environmental,,,industrial n civil engineering mkuu?
hawako competent katika izo??

mkuu wala usihangaike nae coz haelewi hata anachokiongeleaa, anabwabwaja tu, point zake wala hazina mashikoo! haijui vzr ARU
 
Back
Top Bottom