ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
ARDHI UNIVERSITY is da best kwa kozi zake zote
Ifuatayo ni orodha ya vyuo na kozi wanazotoa UDSM>LAW,ENGINEERING,ACCOUNTING MZUMBE>LAW,ACCOUNTING ,HUMAN RESOURCE TIA>ACCOUNTING DIT>ENGINEERING SUA>Veternary medicine,agriculture engineering,agronomy,water resource and irrigation engineering IFM>Banking&finance

Hapana mkuu ardhi wanaongoza kwa kozi za architechture,land mgt
Endeleeni kuweka orodha ya vyuo bora, huku salary slip za watu zinasoma fresh tu.....
unaakili wewe! Mi mwenyewe nawashangaa, wanashindanisha vyuo wakati mi najua nikitoka zangu TEKU salary slip kama ya huyo aliyetoka UDSM. Wataishia kujisifia tu, cha msingi mi napata content inayotakiwa.

oooh UDOM chuo cha kata, ndo nimeshapata degree yangu nishapata kazi salary slip inasoma
walomaliza vyuo bora wapo kitaa mwaka wa tano wanatafuta kazi
walomaliza juma training college wapo wanakula mshahara!!!!!
acha waendelee kumwaga list za vyuo bora
Unajua serikali imepanga mshahara hadi bachelor basi?
Swali masters/phd/profesor ya nini?
Funguka ndugu.
Hapana mkuu ardhi wanaongoza kwa kozi za architechture,land mgt
Natamani kweli kujua kozi uliyosoma na kama wewe ni bora
is dats all???
Vipi kuhusu unique courses africa mashariki na kati kama land
surveving,,geinformatics(udom imewashinda),buildind
eco,,planning,,environmental,,,industrial n civil engineering mkuu?
hawako competent katika izo??