Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

skyline tech

Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
39
Reaction score
65
Katika kusoma soma riwaya za kisasa zaidi za karne hii nimetambua kuna waandishi wazuri na wenye hadithi tamu wanafanana namna ya kuandika simulizi zao, maudhui yote kwa ujumla.

Kuna George Iron Mosenya jamaa ni fundi sana huyu ila uandishi wake unashabihiana na wa ABASY MZIGUA na ELIAS SHELUKINDO na kuna huyu dada Crarency Sanga.

Sema hawa waandishi wanashirikiana sana, wanaupiga mwingi kongoreee[emoji109][emoji109]

Ongeza na wewe kama unadhani wapo.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…