Orodha ya wachezaji mizigo Yanga

Orodha ya wachezaji mizigo Yanga

Lawama zote pelekeni kwa uongozi. Wewe unajiandaa na mechi za kimataifa bila kucheza mechi za kirafiki zenye uzito wa kimataifa?

Wachezaji hawana hatia wako vizuri sana shida uongozi wenu uliendelea kupiga kampain hata baada ya uchaguzi.
 
Lawama zote pelekeni kwa uongozi. Wewe unajiandaa na mechi za kimataifa bila kucheza mechi za kirafiki zenye uzito wa kimataifa ?
Wachezaji hawana hatia wako vizuri sana shida uongozi wenu uliendelea kupiga kampain hata baada ya uchaguzi.
Fact..... upo ktk mashindano ya klabu bingwa unacheza na tmu za mtaani kweli????? Unashindwa kwenda hata Uganda hapo kurudiana na vipers waliokufunga ili uangalie panapovuja upazibe.
 
Back
Top Bottom