jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 530
Lawama kwa uongozi na usajili wao wa maonyeshoSasa itakuwaje....
Yes nae ni mmojawapo huwezi kuwa captain halafu unakaba kwa macho5. Nyeto
Huyo sijamweka angalau amejitutumua assist 1 goli 1.... lakini makambo?Aziz k ndo mzgo wa kwanza
Fact..... upo ktk mashindano ya klabu bingwa unacheza na tmu za mtaani kweli????? Unashindwa kwenda hata Uganda hapo kurudiana na vipers waliokufunga ili uangalie panapovuja upazibe.Lawama zote pelekeni kwa uongozi. Wewe unajiandaa na mechi za kimataifa bila kucheza mechi za kirafiki zenye uzito wa kimataifa ?
Wachezaji hawana hatia wako vizuri sana shida uongozi wenu uliendelea kupiga kampain hata baada ya uchaguzi.
Balaaa sasa watamfukuza morrison🤣🤣🤣🤣Lawama kwa uongozi na usajili wao wa maonyesho
Kabisa...... nadhani na kocha pia hatunaSisi Yanga bado sana
Kweli kabisa, jamaa hajawahi kushinda mechi za kimataifa na Yanga. Haya mambo ya kuhonga marefa yametuumbua panapo stahili.
Dah! hiyo shida tunayo kaka inabidi tuivumilie tu mpaka imalize mkataba. Mchezaji kila game lazima apaniki uwanjaniBalaaa sasa watamfukuza morrison[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzeya wee leo ni maumivu tuu pande zote 🤣🤣🤣🤣Sisi Yanga bado sana
Hahahaaaa baada ya kufungwa tar 23kuchapana saa ngapi wanayanga?