jombaa askari
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 494
- 530
- Thread starter
-
- #41
Na mimi hapa watatu [emoji23]Hata hawakusanda kwa nini tulimuacha tu na kumpa releasing letter mapema bila hata kufikia mwshon mwa mkataba wake...kwel wenye akili pale ni wawili tu
Inabidi tujue umri wake halisi. Unaweza kuta ana miaka 37 huko.Ilitakiwa apandishe kiwango mkuu ye nae toka arudishwe pale hakuna lolote analolifanya.... na ikitokea mayele kaumia sijui itakuwaje tu pale mbele
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Ila kinahitaji trial na vitimu vya polini ambavyo unajipigia tu.Kikosi cha 2b hakina mambo mengi na hakihitaji trials
Zalan ni timu ya kujitetea nayo kweli?Acha uongo mkuu Nabi amewapiga Zalan nje ndani jumla ya magoli 9
Hivi Zalan ni timu ya kujitetea nayo kweli? Yanga hatuoni hata aibu?Kwan zalan fc wanatokea mkoa gani hapa bongo? mbn wamepigwa halafu unasema kocha hajawahi kushinda kimataifa. Timu zinazidiana uwezo, lakini pia mpira una matokeo matatu lolote linatokea , timu zote zinatafuta matokeo
6.Joyce monalisa1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo wanakula mishahara ya bure tu .
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Yani Injinia aendelee tu kutumia hela? Faida ataiona Sasa? Furaha ya Wanayanga kuifunga Simba, kesha jua pa kuwakamata ili aendelee kupiga pesa pale klabuni.Fact..... upo ktk mashindano ya klabu bingwa unacheza na tmu za mtaani kweli????? Unashindwa kwenda hata Uganda hapo kurudiana na vipers waliokufunga ili uangalie panapovuja upazibe.....
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Na wewe hapo ulipo, una uhakika siyo mzigo? Naomba jibu.1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo wanakula mishahara ya bure tu .
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Matola anasubiri tu timu ifungwe hiyo tarehe 23, ili muanze tena kumrushia makopo.kuchapana saa ngapi wanayanga?
Mutambala Lomalisa kazidiwa kila kitu na David Luhende wa Kagera Sugar1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo wanakula mishahara ya bure tu .
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Kwa Morrison kuna sifa gan? Maana Simba walimtema. Na alitugaragaza kule CAS miaka sijui mingapi.akasema Simba ndiyo Chuo cha Mpira. Kama mifala ametemwa Simba tunaenda Mchukua.... Pale wapigaji Yanga ni wengi. Kama ambavyo Manara alitemwa sisi tukaona ni wa Maana....tumekuwa watu wa hovyo sanaSidhani kama uchawi mkuu.... ni uongozi kutaka masifa ya kijinga toka kwa mashabiki kumrudisha morisson au kisinda
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Morrison Simba walishamwacha. Walishaona hana nidhamu. Ndo maana unaona mwishoni walimtema kiaina. Simba walimwacha jamaa baada ya kuona ana homa ya vipindi. Sisi ambao alishatuaibisha tukamwona ni mali.Kwa haya matokeo kuna panga litapita ili mashabik waone uongoz upo serious na lengo ni kupunguz pressure..:mkiambiwa sajilin wachezaj wanaoelewa haya mashndano...mnakuja kumpoka morosn kutoka simba eti kisa kaisaidia simba msimu uliopita kufika robo fainali..achaneni na usajil wa miemuko