Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Zalan hamna kitu. Wale jamaa hata pesa ya Hotel hawakuwa nayo. Yaani tuliwaleta sisi toka kwao. Unategemea nini?Kwan zalan fc wanatokea mkoa gani hapa bongo? mbn wamepigwa halafu unasema kocha hajawahi kushinda kimataifa. Timu zinazidiana uwezo, lakini pia mpira una matokeo matatu lolote linatokea , timu zote zinatafuta matokeo
Simba wameshahama huko. Kwa wao sasa kufungwa na Yanga si issue. Nakaaa na wasimba wameshajitoa kwenye usimba na yanga. Wao wanaangalia kimataifa zaidi. Hapa katikati tumewafunga sana huoni hata wakigombana. Wao wanalia na matches za Kimataifa na za ligi kwa ujumla si yanga pekee.... Tutajikuta mwishoni ni sisi tu tunashangilia sana kuwafunga Simba wao wanaona kawaida tu na wanaendelea kujipanga. Utaniambia. Tunabweteka sana kwa kuwafunga Simba.Matola anasubiri tu timu ifungwe hiyo tarehe 23, ili muanze tena kumrushia makopo.
😂 Na bado, Morrison simlimchukua ili kuikomoa Simba heti!!1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo wanakula mishahara ya bure tu .
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Na wachambuzi maandazi wa mpira pia wanaiharibu yanga, ndio walikuwa wanaikosoa Simba kwenda nje ya Nchi pre-sesonLawama zote pelekeni kwa uongozi. Wewe unajiandaa na mechi za kimataifa bila kucheza mechi za kirafiki zenye uzito wa kimataifa?
Wachezaji hawana hatia wako vizuri sana shida uongozi wenu uliendelea kupiga kampain hata baada ya uchaguzi.
MAKAMBO MZIGO MZITO JAMANI 😬😬😬1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo wanakula mishahara ya bure tu .
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Tupo watatu wenye akili pale yanga mkuuNa wewe hapo ulipo, una uhakika siyo mzigo? Naomba jibu.
Fact..... upo ktk mashindano ya klabu bingwa unacheza na tmu za mtaani kweli????? Unashindwa kwenda hata Uganda hapo kurudiana na vipers waliokufunga ili uangalie panapovuja upazibe.
Uko sahihiLawama zote pelekeni kwa uongozi. Wewe unajiandaa na mechi za kimataifa bila kucheza mechi za kirafiki zenye uzito wa kimataifa?
Wachezaji hawana hatia wako vizuri sana shida uongozi wenu uliendelea kupiga kampain hata baada ya uchaguzi.
Kabisa kabisa mkuuFact..... upo ktk mashindano ya klabu bingwa unacheza na tmu za mtaani kweli????? Unashindwa kwenda hata Uganda hapo kurudiana na vipers waliokufunga ili uangalie panapovuja upazibe.
Sijui Yanga akifungwa na SIMBA itakuwaje1. MORISSON
2. KISINDA
3. MAKAMBO
4. AMBUNDO
5. ........
Namba moja na mbili sijui kwa nini walirudishwa
Namba tatu na nne Havana mchango wowote kwa timu.
Ongezea wengine ambao ni mzigo wanakula mishahara ya bure tu .
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Inabidi iwe hivyo mkuu.... afungwe ili viongozi akili iwakae sawaSijui Yanga akifungwa na SIMBA itakuwajeView attachment 2390405
Ipo wazi kabxaa...hata jana uliona alivyokuwa hana nidhamu uwanjan hadi wenzake wanammind na kutaka atumie akili na c kufanya utoto uwanjanMorrison Simba walishamwacha. Walishaona hana nidhamu. Ndo maana unaona mwishoni walimtema kiaina. Simba walimwacha jamaa baada ya kuona ana homa ya vipindi. Sisi ambao alishatuaibisha tukamwona ni mali.