Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii ndio orodha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, waliokatwa na wanaobaki washajulikana! Je uongozi umepatia au umepuyanga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngassa atapewa kacheo pale timu ya wananchi akistaafuNIMEFURAHI SANA SANA KUACHWA JAPHARI MOHAMED
nimekasirika sana kuachwa Ngasa huyu alitakiwa acheze hata akiwa na miaka 50
Cheo gani Salary tu walikuwa wanashondwa kumpa mpka analalama kwenye midiaNgassa atapewa kacheo pale timu ya wananchi akistaafu
Kwahyo unaona wivu?Cheo gani Salary tu walikuwa wanashondwa kumpa mpka analalama kwenye midia
Hawana nanna.ila athari ni kubwa sana.na ukizingatia ligi itaanza mapema tu mwezi huu lkn kitu kibaya zaidi ni viongozi kufanya usajili badala ya kocha kufanya machaguo yake kulingana na programu yake ya ufundishaji.Hii ndio orodha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, waliokatwa na wanaobaki washajulikana! Je uongozi umepatia au umepuyanga?
HapanaKwahyo unaona wivu?
hao waache waende, wameshajiona wakubwa kuliko timu pale, wataleta migogoro mbelen hawa.Yondani na Juma Abdul wao wameiacha timu