Orodha ya Wachezaji wanaobaki na wanaoachwa na Klabu ya Yanga

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ndio orodha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, waliokatwa na wanaobaki washajulikana! Je uongozi umepatia au umepuyanga?

 
Duh kila dirisha la usajiri wanaanza upyaaa
 
Uongozi uko sahihi kwenye hili 100%! Tulikuwa na deadwood nyingi. Timu haikuwahi kushinda hata mbili bila msimu mzima! Makele ya Simba ni woga umeanza kuwapigia! Wananchi wameamua! Adui hawezi kupendezwa!
 
Waliaochwa halali yao ila wangenpa msimu mmoja Ally Mtoni uwa naona anakaza sana ingawa nahisi anatumia nguvu nyingi kuliko akili
 
Hii ndio orodha iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, waliokatwa na wanaobaki washajulikana! Je uongozi umepatia au umepuyanga?

Hawana nanna.ila athari ni kubwa sana.na ukizingatia ligi itaanza mapema tu mwezi huu lkn kitu kibaya zaidi ni viongozi kufanya usajili badala ya kocha kufanya machaguo yake kulingana na programu yake ya ufundishaji.
 
Yondani na Juma Abdul wao wameiacha timu
hao waache waende, wameshajiona wakubwa kuliko timu pale, wataleta migogoro mbelen hawa.
Yondan msim uliyopita alikuwa anachagua games za kucheza, mda mwingi ana matatizo ya kifamilia, mbona hatuwasikiagi kina Messi na Ronaldo wakikosa games sababu ya matatizo ya kifamilia!
 
Haya wasajili basi tuone, sio kila msimu wamegeuka tu wasindikizaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…