L ligera JF-Expert Member Joined May 17, 2014 Posts 2,646 Reaction score 1,171 Jul 12, 2014 #1 Naomba kuuliza kama wizara imeshatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya cheti ualimu daraja IIIA ,kwani niliomba.mwenye taarifa naomba anijuze tafadhari
Naomba kuuliza kama wizara imeshatangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya cheti ualimu daraja IIIA ,kwani niliomba.mwenye taarifa naomba anijuze tafadhari