Orodha ya waliofariki kwenye shambulio la risasi shuleni huko Texas

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Inasikitisha sana matumizi ya silaha yanavotumika vibaya.

Kwa sasa huko Marekani msiba mzito kwao:

Hii ndio list:

Xavier Lopez, 10. He was a 4th grader at Robb Elementary

Uziyah Garcia, 10. He was in 4th grade.

Eva Mireles.

Nevaeh Bravo. She was in 4th grade

Irma Garcia

Amerie Garza, 10. She was in 4th grade

Maite Yuleana Rodriguez, 10. She was in 4th grade.

Makenna Lee Elrod, 10. She was in 4th grade.

Ellie Garcia. She was in 4th grade

Tess Mata. She was in 4th grade

Annabelle Guadalupe Rodriguez, 10. She was in 4th grade.

Rogelio Torres, 10. He was in 4th grade

Alithia Ramirez, 10. She was in 4th grade

Cousins Jayce Carmelo Luevanos, 10

Jailah Nicole Silguero, 11

Miranda Mathis, 11.

Elijah Cruz Torres, 10. She was in 4th grade.

Jose Flores, 10. He was in 4th grade

Hii ndio list niliyopata. pumzikeni kwa amani watoto
 
Halafu wote ni Latin American by origin hata muuaji ni haohao. Huko ndio kuna umafia na Madawa ya kulevya ya kila aina
 
Nyota zimezima ghafla, poleni wazazi wa watoto hao, Sheria za kumiliki silaha ziwe km bongo mtu mpk unakufa hujawshi kugusa gobole
 
Halafu wote ni Latin American by origin hata muuaji ni haohao. Huko ndio kuna umafia na Madawa ya kulevya ya kila aina
Hata Mimi nimeshtuka kuona wahanga wengi ni asili ya Spanish/Latin Americans, nikawaza labda ni systematic terrorism.
Kama aliyeua naye ni asili hiyo hiyo bado unahitajika uchunguzi wa kina.
 
Hata Mimi nimeshtuka kuona wahanga wengi ni asili ya Spanish/Latin Americans, nikawaza labda ni systematic terrorism.
Kama aliyeua naye ni asili hiyo hiyo bado unahitajika uchunguzi wa kina.
Hapo lazima uchunguzi zaidi haiwezekani dogo apate chuma kama hio kirahisi vile
 
Huyo wa kwanza ni mtoto wa shangazi yako?
Mods mnahitaji kamera uwanjani?
 
Hapo lazima uchunguzi zaidi haiwezekani dogo apate chuma kama hio kirahisi vile
Marekani chuma kwenye familia za kizungu ni muhimu sana hasa kujihami dhidi ya blacks na Spanish. Unaezakuta kwenye familia kila mtu ana mashine yake na ujuzi wa kuitumia. Hapo ndipo wengine wanashawishika kuzitumia kihalifu.
 
Attachments

  • images.jpeg
    47.7 KB · Views: 31
Hivi hii nayo tunasema ni mipango ya mungu?
Daah! Watoto wadogo sana
 
Hawa wote ni Mexicans kwa asili.

Hayo yalikuwa mauaji ya kibaguzi.
 
Marekani chuma kwenye familia za kizungu ni muhimu sana hasa kujihami dhidi ya blacks na Spanish. Unaezakuta kwenye familia kila mtu ana mashine yake na ujuzi wa kuitumia. Hapo ndipo wengine wanashawishika kuzitumia kihalifu.
cover la movie hili jamaa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
babu criminal mind anapokutokea huo muda wee unatafuta gani yako yeye ameshakuwasha..
mtu anakuja we hadi uchomoe yako ushawahiwa!hapo inakuwa hamza kafia ubalozini
 
Wao huwa wanatangqzaga Vifo vya Huku vya Hata Daladala?
 
bongo tukikaza sheria za umiliki mwingine anamind.ona uzwazwa huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…