Elections 2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

Watumishi wote na wanafunzi wote wa elimu ya ju.Pia wananchi hali yao hoiii kabisaaaa
 
Mbona unatuandikia vichwa vya habari kama vya magazeti ya Uhuru na Mzakendo? Headings nzito habari feki.
 
Believe me Trump anaenda kuwashangaza watawala waliozoea kutumia organization za kiutawa kama SACCOSS zao. Wa kwanza kuisoma namba ni watawala wa Africa
 
Mimi nikajua umeweka ORODHA yote hapa
 
Sera ya VISASI inaendelea na itazidi kuiacha nchi pabaya zaidi,kuondoa haya ni bora watanzania wote tukaamua kwa kauli moja kuwaweka wapinzani,na hii itasaidia kurudisha nidhamu serikalini na Bungeni........
Nanukuu "MTANIKUMBUKA" mwisho wa kunukuu
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward
Jinsi Gani Umeumbuka na Kauli Yako Ya KIPUUZI [emoji45] [emoji45] [emoji45] Shame on You

~Cmb
 
Bana wee
 
Jameni nauliza tuu hivi huyu Ocampo 4 yupo?
P
 
Makufuli hawezi kuwa raisi wa nchi hii na haita tokea.

Bado siku chache upopo wa kisiasa utabadidilika na dira thabiti ya nani anaenda kuwa raisi wa hii nchi ya Kambarage atakuwa wazi

Mark my ward
Labda kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…