Watanzania wote kwa ujumla,
Naomba tuandae orodha ya waliopigwa, waliofungwa, waliopoteza uhai na waliotendewa vibaya tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru. Nitatoa miafano:-
Watu wampoteza uhai kama akina Kassim Hanga, Karume, Kleruu, Mwangosi na wengine wengi
Watu wameng'olewa kucha, meno na kupewa ulemavu wa viungo kama Kibanda. Ulimboka na wengine wengi.
Watu wamewekwa vizuizini kama akina Anangisye, Kassanga Tumbo, Mapalala na wengine wengi
Watu wamepata kipigo cha mbwa kama akina Lipumba, Ngawaia, Wenje, Kiwia, Lwakatare, Joshua Naasare na wengine wengi sana
Watu wameswekwa rumande kama akina Mtikila, Lwakatare, Lema na Seif Sharrif Hamad na wengine wengi
Watu wamelipuliwa mabomu ya machozi kwenye mikutano, iwe ni Mtwara, Arusha, Iringa, Mwanza.
Orodha ya waathirika iwe kamilifu na tukisha ipata orodha hii ttuichambue kwa kina na kujiuliza maswali mazito. Hasa tujiulize kwa nini haya yote yametokea?
Kama Kassanga Tumbo aliwekwa kizuizini, ni kwa nini?
Kama Kassim Hanga alinyongwa, ni kwa nini?
Kama Ngawaia alipata kipigo cha mbwa, ni kwa nini?
Kama Karume aliuawa, ni kwa nini?
Kama Mapalala aliwekwa kizuizini, ni kwa nini?
Kama maboumu yanalipuliwa arusha, ni kwa nini?
Baada ya hapo tunaweza kufanya alichokifanya Mandela - truth and reconciliation