Hujakosea walah
Kwahio mimi kanitaja? Mnanisingizia tuWatu huwa wanasema mimi nna mashushu kumbe mnanisingizia mbona Buji hajaniona
Tunamsaidia kuongeza listKwahio mimi kanitaja? Mnanisingizia tu
Ngosha nasomaga mashushu yako nacheka, sema yanafurahisha kama hayakuhusu ila kama linakuhusu linakeraa.Duh.....
Mwenza njaa inauma ujue muda wa lunch huu?Tunamsaidia kuongeza list
Pacha alinishushuaga siku moja hadi nililog outNgosha nasomaga mashushu yako nacheka, sema yanafurahisha kama hayakuhusu ila kama linakuhusu linakeraa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pacha alinishushuaga siku moja hadi nililog out
Nimetoka chuga na ndoo ndogo ya dope upo wapi nikuleteeMbona sisi wavutaji maarufu hujatutaja?
Beberu Mwitu
Sigara Kali
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Hana madhara huyo ni toothless dogGENTAMYCINE hana mashushu ila ana matusi na masifa ya Kijita huku akijifanya Mnyarwanda.
Hivi idara za usalama zinashindwaje kumkamata baradhuli huyu ambaye kila uchao yeye ni kuitusi tu idara yetu ya Usalama wa Taifa?
Mwenza usinifanyie hivyo jamani[emoji134]
Weee acha kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah wewe pacha wake hawezi kukushushua bwana.
Mwenza tugawane umasikini.Mimi mwenyewe nilipomwambia habari ya sikukuu kapotea kazima hadi simu. Unataka nikupe nilizodanga?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weee acha kabisa
Aah wapiMwenza tugawane umasikini.
Mwenza Mungu hapendi jamani.Aah wapi
Mwenza Mungu hapendi jamani.
Pacha hata wewe unaniua?!Pacha alinishushuaga siku moja hadi nililog out
Pacha hata wewe unaniua?!