Orodha ya wana JF wanaodeka kupita kiasi!

Orodha ya wana JF wanaodeka kupita kiasi!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Jamani, naombeni orodha ya wana JF ambao wanadeka kupita kiasi.
Yani wao ishu ndogo tu ya kuweza kuisolve offline lazima wailete huku kuomba msaada...
Weka hapa majina yao tuwajue ili tuwadekeze vya kutosha 😀
 
Back
Top Bottom