Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Ukiona hivyo ujue siyo yatima wanajua baba zao tumo humu kuwasaidia. Kunakamsemo yatima hadekiJamani, naombeni orodha ya wana JF ambao wanadeka kupita kiasi.
Yani wao ishu ndogo tu ya kuweza kuisolve offline lazima wailete huku kuomba msaada...
Weka hapa majina yao tuwajue ili tuwadekeze vya kutosha 😀
Nina RB yako.Max Melo
HR 666, GENTAMYCINEJamani, naombeni orodha ya wana JF ambao wanadeka kupita kiasi.
Yani wao ishu ndogo tu ya kuweza kuisolve offline lazima wailete huku kuomba msaada...
Weka hapa majina yao tuwajue ili tuwadekeze vya kutosha 😀
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe humjui yeyote?Hizi tafiti sasa.
Sijamdekeza mtu humu siwezi jua badoWewe humjui yeyote?
Anavuta ile kitu inaitwa cha arushaLol.
Hamna kakitu unavutaga kweli?
Kesho saa mbili tukutane "Chumbageni"Sijamdekeza mtu humu siwezi jua bado
Sehemu gani?Kesho saa mbili tukutane "Chumbageni"
[emoji2][emoji2][emoji2]deo kisandu
huyu mpaka unyumba anaombea kwenye social media
[emoji23] [emoji23] [emoji23]