Orodha hii ni ya vijana waliochaguliwa kujinga na kidato cha kwanza 2015 waliotokana na shule za msingi zilizoko katika wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaama, katika tovuti ya manispaa. Bofya <<HAPA>> au attachment kuyapata . Kwa wale ambao shule zao zilikuwa nje ya wilaya hiyo watumie njia zingine kupata orodha.
Pamoja na hayo wadau elimu naomba pia tujadili sababu za wahusika kutangaza matokeo ya vijana wetu na kuyaweka mdandani lakini wanashindwa kuweka majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza! Hapa kuna siri gani?