Orodha ya wasanii wa Bongofleva walioingiza pesa nyingi 2015

Aliyeandaa hii list anavuta bangi, yaani unamaanisha mtu akiinvest sana kwenye biashara ni lazima return iwe kubwa sana? Hujui kwamba kwenye biashara kuna hasara, au kupata kidogo kuliko matarajio ya investment? In short kutumia pesa nyingi kwenye video hakumaanishi ndo lazima upate sana hela, inategemea huo wimbo watu wameupokeaje na umekusaidia kupata show kwa kiasi gani. Kwa mtazamo wa kawaida unaweza kuhisi tu wasanii gani wamepiga mkwanja sana mwakahuu kutokana na show nyingi walizopiga na kiwango wanacholipwa, na ukitaka wasanii walioingiza mkwanja lazima uwataje Diamond, Yamoto Band, Ali Kiba, Christian Bela (dansi), labda na Weusi
 

Yaani hata waliopoteza pesa kwa ku shoot video unasema wameingiza pesa..ama kweli ujinga mzigo
 
Wasanii wabongo wenyewe hawajui huwa wanaingiza kiasi gani sasa sijui waandaaji wa hii list wamejuaje?

Kutoa video Kali siyo sababu ya kuwa na pesa zingine zinaishia kuwapa hasara tu

Note: Juzi niliskia kipande cha mahojiano Blue akidai aliingiza pesa zaidi ya million100 roughly estimation yake kupitia wimbo wake wa pesa (ilikua ni mahojiano ya muda nahisi miezi mitatu nyuma)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…