Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
YouTube wametoa orodha ya wasanii waliofanya vizuri kwa kupata watazamaji wengi mwezi February. WCB ( wasafi ) .......+ NLM (next level music). Wameendelea kukiwasha
Orodha ni Kama ifuatavyo:
1. Diamond Platinumz. 38.3 million
2. Rayvany 18.9 million
3. Zuchu 18.6 million
4. Harmonize 16 Million
5. Mbosso. 9.8 million
6. Alikiba. 7.1 million
7 Marioo 5.04 Million
8. Lava lava. 4.59 million
9. Macvoice. 2.5 million
10. Nandy. 2.43 million
Maoni yangu........KIBA aongeze bidii......watoto wadogo wanamzidi pumzi
Konde boy ....bado ana kazi nzito ya kufanya ...aongeze bidii
Orodha ni Kama ifuatavyo:
1. Diamond Platinumz. 38.3 million
2. Rayvany 18.9 million
3. Zuchu 18.6 million
4. Harmonize 16 Million
5. Mbosso. 9.8 million
6. Alikiba. 7.1 million
7 Marioo 5.04 Million
8. Lava lava. 4.59 million
9. Macvoice. 2.5 million
10. Nandy. 2.43 million
Maoni yangu........KIBA aongeze bidii......watoto wadogo wanamzidi pumzi
Konde boy ....bado ana kazi nzito ya kufanya ...aongeze bidii