Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
1. Mafisadi wote na wahujumu wa nchi
2. Wanasiasa wanaopandikiza sera za chuki za udini
3. Maafisa ardhi wanaouza eneo moja la ardhi kwa zaidi ya mtu mmoja
4. Manesi, wauguzi na madaktari wenye roho mbaya ambao wako tayari kutoa uhai
wa mgonjwa kwa sababu hajawapa hela ya chai.
5. Watendaji wa baraza la taifa la mitihani wanaouza mitihani na kuivujisha.
6. Polisi wanaosingizia watu na kuwabambikiza makosa mbalimbali ya uongo.
7. Endeleza orodha hii
tusiwaze namna ya kuuwana!tunapaswa kutafuta mbinu ya kutatua matatizo yetu,na kuwahukumu wakosefu kwa kutumia sheria zetu zilizopo!!
11.wanaochit wapenz wao
11.wanaochit wapenz wao
siungi mkono kuchukua mamlaka ya kuwa mungu na kutoa roho za watu... tusiombee tusiyoyajua
what we need is to take CCM au poor government out.. sio kuuana... basi kama ni hivyo tuanze na kuua mazalia ya mbu