Orodha ya Watanzania waliosimama kupinga uwekezaji wa DP World; tuwataje historia iwahukumu au kuwapa maua yao

Hiyo list kama hayupo @mdudechadema ni batili
 
kwa nini hampendi uwekezaji ujue mnashangaza ulimwengu hamjui tuh
 


11. Mimi - Nyanga Nguseso.
 
Wa upande wa pili hawa, Faizafoxy, THE BIG SHOW, Pascal Mayalla, Steven ntesemuro something, Zitto Kabwe, Bunge, Tulia, Boss, SSH, Chama cha Act sio wazalendo.
Hapo mtoe Pascal Mayalla nadhani bado haujaweza kuyaelewa maandiko yake... na kama watawala na wenyewe wangekua wanaelewa hasa uandishi wake basi angekua wakwanza kupewa kesi ya Uhaini. Pascal hajawahi kuunga mkono mkataba wa bandari zaidi ni mchochezi kwa ma GT na wenye walioongezea na zao.
 
Halima Mdee hata kama ni COVID lakini kwenye hili dude kapaza sauti.
 
Kuwasahau baadhi ya watu kunamaanisha niwengi mpaka wamesahauliwa.
 
Tunaendelea na sensa CHADEMA kuorodhesha wasaliti wanaopinga DPW. So far ni watu 83 wengi wao ni Maaskofu 37 waliodanganywa na Katibu wao Fr. Kitima.

Kwa hesabu za haraka haraka hii ni 0.00000% ya Watanzania wote, rounding off to five (5) decimal places. Any more? Tutaishia rounding off to the largest whole number tujipe hadi saa 8.
 
Asante sana

Nikuombe uandike na wale walioupigia chapuo kufa na kupona.

Wale Wabunge waliosafiri kwenda Dubai

Wale Wabunge bungeni waliosema hawawezi kumpinga Sa100 ili hali unautaka ubunge.

Wale wachekeshaji na waandishi feki wa habari waliopelekwa Dubai

Yule bwana aliyesema Mahakama zetu zinapigiwa simu moja na wanasiasa.

Yule bwana wa chama kile aliyesema kilichopitishwa bungeni ni sawa na karatasi ya kifungia maandazi.

Wale walioingiza issue ya udini kwenye mjadala.

N.k.
 
Sasa huyo Lema umemtaja wa kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…