Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
1 na 3 meme zao ndiyo naziona sana za Ngono 99%.Smart phone revolution imekuja na changamoto zake , hasa kwa wale wasioweza kujidhibiti na kujikuta wakipost ama maudhui yasiyo na maadili au maudhui yasiyo natija kwa jamii. Orodha hii itakuwa refu kulingana na utafiti wangu siku za usoni.
1. Malkia wa nyuki
2. Cynacute
3. Hello tanzania
4. Oscar Oscar jr
5.Divathebwse (huyu bado tunatafiti maudhui yake)
itaendeleaš
Hao ni sample tu ila watanzania asilimia kubwa mtandaoni tunatia aibu kabisa.Smart phone revolution imekuja na changamoto zake , hasa kwa wale wasioweza kujidhibiti na kujikuta wakipost ama maudhui yasiyo na maadili au maudhui yasiyo natija kwa jamii. Orodha hii itakuwa refu kulingana na utafiti wangu siku za usoni.
1. Malkia wa nyuki
2. Cynacute
3. Hello tanzania
4. Oscar Oscar jr
5.Divathebwse (huyu bado tunatafiti maudhui yake)
itaendeleaš