Orodha ya Watu 10 Matajiri zaidi Tanzania, Mo Dewji aongoza kwa Tsh. Trilioni 5.5

Yaan iyo bilion 37 ndo yupo top ten bhas wabongo kifupi n maskini maana iyo hela mbape si anapata mwezi mmoja au miwili kipindi yuko psg ss ndo tahiri namba 10 kwenye nchi hii nchi n ya laana kama n kweli iyo hela n ya mtu wa kuwa nazo hapo kariakoo tu
 
Mengi baada ya kufariki familia imetoka kwenye ramani ya utajiri😭
 
Watanganyika ni wawili tu na ni Wachaga waliobaki ni foreigners.
 
Yaani belesa na kumchangia kote kwenye Azam tv na bado kapitwa na mou? Mtafiti hebu rudia tena kazini.
 
Yaani belesa na kumchangia kote kwenye Azam tv na bado kapitwa na mou? Mtafiti hebu rudia tena kazini.
METL is very diversified mzee, ingawa gap haliwezi kuwa kubwa hivo ila METL ipo kila mahali ambako nchi hii kuna pesa
 
Hiii mambo ng'an? Mwakibete na mwamposa mbona hawap???
 
Ilibaki kidogo niamini hii orodha ila HAPO mwishoni mleta mada nikamshitukia YANI bilioni 37 MTU YUPO top ten ilihali diamond TU mwenyewe Miaka kaza nyuma aliingia MKATABA WA kuuza mziki kwa MAbilioni ya FEDHA. Basi hata GSM hayupo, wale ma tycoon WA dhahabu NAO


Kwishaaaa
 
Kuna watanganyika Weusi wawili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…