Hapo Mwalimu wa mazoezi,ni Mimi mwenyewe!1. Mchungaji wake
2. Tajiri
3. Mwalimu wa mazoezi
4. Rafiki yake wa kiume
5. Daktari wa familia
Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani.
View: https://youtu.be/mukEPwaGAOo
Ashukuriwe Yesu aliyenipa Mke anayejilinda mwenyewe.1. Mchungaji wake
2. Tajiri
3. Mwalimu wa mazoezi
4. Rafiki yake wa kiume
5. Daktari wa familia
Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani.
View: https://youtu.be/mukEPwaGAOo
Hongera sana mkuu.Ashukuriwe Yesu aliyenipa Mke anayejilinda mwenyewe.
Asante sana. Yaani akitoka tu,wahuni wanamtongoza balaa hawajali cha mke wa mtu wala nini,FUJO juu ya FUJO!😅Hongera sana mkuu.
Umewahi kukaa ukatafakari na kujiuuliza ni kwa nini kama una mke ambae anakupenda kiasi kwamba kwa hiari yake aliamua kufunga ndoa nawe aamue kukuendea kinyume? Umewahi kujiuuliza hilo? Umewahi kujiuuliza na kama humuamini mwanamke ulie nae ni kwa nini umeamua kufunga nae ndoa? Umewahi kujiuuliza ni kasoro gani ulizonazo zilizomfanya mkeo wa ndoa aamue kutafuta mtu mwengine wa kumstarehesha kwa kuibia ibia wakati wewe upo nyumbani tayari kwa mapenzi moto moto wakati wote?1. Mchungaji wake
2. Tajiri
3. Mwalimu wa mazoezi
4. Rafiki yake wa kiume
5. Daktari wa familia
Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani.
View: https://youtu.be/mukEPwaGAOo