Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Sijawahi kuona wakili akijiona amepatia maisha, ungesema mahakimu ningekuelewa.
 
Aisee
 
Watangazaji wa radio zenye majina, wanaojua kuchanganya kiswa-english.
Huwa wanatupanga sana, yaani mtu akishajua misamiati kadhaa na kubadili lugha basi ndio kabisa tusiojua ngeli tumeishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…