Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Hao wa namba 12 ni balaa kabisa..!!! Wanajionaga wapo mbinguni na Moses..!!
 
Msukuma anayeishi Mbezi Beach.... elezea kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe wasema hivyo ila kuna wengine wanatuona ambaye hatuamini kwa huyo Yesu si lolote si chochote
 
Swali la kizushi; wewe tunakuweka namba ngapi?
🤣🤣🤣Nimeangukia sehemu nyingi sana3,6,8,
15, ....Hiyo 10 niliitendea sana haki enzi nimeajiriwa navaa visuti flan hivi vya dark blue na skarf nyekundu weeeeee huniambii kitu ila nilivyokomaa akili nilijiona pimbi sana
 
Hapo namba 4 umewagusa wataalam ambao hutumia hizo title zao kutukoga. Lakini pia kuna Wanasiasa ambao wao hutaka na kukazimisha waitwe "waheshimiwa". Wapo wengine ukimuita jina lake pasipo kuweka hiyo title wala hawaitikii. Kibaya sasa wanataka hata wenzi wao waitwe kwa kutumia hilo neno. Utasikia " Mheshimiwa Mama Diwani fulani" kwa vile tu mumewe ni Diwani. Hakika hii title ya Uheshimiwa sasa inaanza kukosa thamani yake. Hata Wajumbe wa nyumba kumi wanataka Uheshimiwa. Nina hakika kuna baadhi ya nyadhifa hazistahiki kutumia title hizo lakini kwa vile mambo ni vurugu sasa kila mtu ni "Msimika sana".
 
Nimecheka ya ndege na subaru
Ya ndege ni 100% yaani mtu anaona km anaenda mbinguni km anavyotuchukulia wengine na pillow yao wkt safari ni dk 45 mpk saa 1 wengine wana toka Dar Bahati/bukoba/mwanza/musima 23hrs km sio 24hr yupo on road
Ya Subaru mm nachukia tu kurushiwa Maji/kugonga mtu mengine jiue mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…