Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

Wanachama wa CCM (pengine ndio hao MaChawa)
 
Ni kweli ila mawinga wa k/koo tumekukosea nini bro? 😂😂😂😂
 
Hapo umetaja watu wote kabisa.Hakuna kundi ulilobakiza.
 
Wanaoendesha Germany Cars I.e VW,BMW Benz etc etc
 
No 6 umenigusa maana kampuni yetu kila baada ya wiki mbili tunapewa mapumziko na unasafirishwa kwa pipa hadi dar toka mikoani mapumziko ya wiki moja kisha unarudi tena kwa pipa wiki mbili tena pipa .Hili mimi nimezoea na kuona jambo la kawaida lakini wavimba macho wanaona nanata wakati ni priviledge nimeikuta sikuiomba.
wao kama wanafanya kazi Morogoro unaishi dar pipa utapandage wakati hiyo route ATC hawana inabidi upande SGR ya Magufuli shida si kufika tu acheni kuchungulia wati kwa kijicho.
 
7&8👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…