orodha ya wavhezaji wa Simba msimu huu wa 2016/2017

yegella

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,113
Reaction score
1,102
Wanajamvi,
Naomba orodha ya wachezaji wote wa Simba sc msimu huu wa 2016/2017...
 
Unataka kikosi chote
Ndiyo Mkuu maana hata hawa wa kigeni sijajua nani tumemwacha baada ya hawa
laudit Mavugo,
Frederick Blagnon,
Besala Bukungu,
Method Mwajari,
Mussa Ndusha
 
Kocha - Joseph Omog

Wachezaji wote watakaowatumia
katika msimu wa
2016/2017.

Magolikipa:
1. Vincent De Paul Angban*
2. Peter Manyika
3. Denis Deonis

Beki wa kulia:
4. Hamadi Juma: Coastal
Union
5. Salum Kimenya: Prisons

Beki wa kushoto:
6. Mohamed Hussein
7. Abdi Banda

Mabeki wa kati:
8. Novaty Lufunga
9. Juuko Murushid*
10. Emmanuel Simwanza-
Mwadui FC
11. Janvier Besala Bokungu*

Viungo:
12. Jonas Mkude
13. Awadh Juma
14. Justice Majabvi*
17. Saidi Ndemla
18. Mwinyi Kazimoto
19. Mzamiru Yassin: M.Sugar
20. Mohamed Ibrahim: M.Sugar
21. Mussa Ndusha*

Winga:
22. Peter Mwalyanzi
23. Jamal Mnyate – Mwadui
24. Shiza Kichuya – M. Sugar
25. Hassan Kabunda –
MwaduiFC
Washambuliaji:
26. Ibrahim Hajibu
27. Daniel Lyanga
28. Haji Ugando
29. Mbaraka Yusuf – K.Sugar
30. Laudit Mavugo *
31. Blagnon Goue Frederic *
32. Ame Ali – Azam FC
33. Method Mwanjari*

Nimejaribu kupekua pekua na kuunga unga naona wachezaji wanazidi..mfano wenyenyota wanaonekana wako 8 huku tukitakiwa kuwa nao 7 na jumla ya wachezaji ni 33 huku tukitakiwa kuwa nao 30 yaani wasizidi...
bado nahitaji msaada nijue chama langu maana mwaka huu ninaimani nalo sana tu
 
Majabvi hayumo kikosini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…