Elninho Elninho
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 537
- 401
Ipo vzr mama, usiyakumbuke ya ruge mwachie Mungu.
Ni felician Muta nadhani!Hivi aliyemzingua ni Ruge au Felocian Mutta?
Asee Saida kafulia..uwongo mbayaa
Siku hizi miungu wamekuwa wengi sana hawagusikiHaters wa Ruge utawajua tuu..aliyemzingua ni Mutta na si Ruge.
Dah! Nimejikuta navutiwa zaidi na signature yako, nikasahau hata uzi ulikuwa unasemaje...Wakora mae!
Iko hivi:Bishop Hiluka signature ikoje?
Hahahaa hii ni sawa na barabara ya mandela roadNinamsikia live hapa EATV radio ...nafarajika saanaa sana.
HahaahaahaaHahahaa hii ni sawa na barabara ya mandela road