Orugambo ya Saida Karoli… bongo fleva mmemsikia bimkubwa?

Dada ni fundi na anaweza sana bahati yake mbaya alikuwa under management ya kumuibia that's why pamoja na kufanya makubwa kwenye industry alibakia kuwa LOFA
 
Baby umeniweka moyoni nami nimekuweka moyoni!!! Acha maneno weka muziki, kazi na muziki.

My favorite lines
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…