Babu wa Loliondo JF-Expert Member Joined Jan 31, 2012 Posts 323 Reaction score 105 May 22, 2012 #1 Wassalaamu wanaJF!! Naomba mwenye ufahamu wowote hawa jamaa ORYX kuna kazi walitangaza mwezi April kama wameshaita au laaa...Nitashukuru sanaa
Wassalaamu wanaJF!! Naomba mwenye ufahamu wowote hawa jamaa ORYX kuna kazi walitangaza mwezi April kama wameshaita au laaa...Nitashukuru sanaa
Kambiaso Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 145 Reaction score 120 May 24, 2012 #2 Hata mimi nilituma application zangu ktk hiyo kampuni bt sijajua michakato inaendaje,naona kimya hadi leo...
Hata mimi nilituma application zangu ktk hiyo kampuni bt sijajua michakato inaendaje,naona kimya hadi leo...
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 May 25, 2012 #3 Post gani?? Kuna GL -Accountant walishafanya Interview. Wa Stock nafikiri bado
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,160 Reaction score 9,151 May 25, 2012 #4 Kazi maeneo kama hayo bila kuwa recommended ni mtihani mgumu. Historia inaonyesha wawekezaji wanaogopa sana kupigwa kwahiyo wako extra careful
Kazi maeneo kama hayo bila kuwa recommended ni mtihani mgumu. Historia inaonyesha wawekezaji wanaogopa sana kupigwa kwahiyo wako extra careful