Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Juzi nimeangalia cnn nikaona eti osama anaongea juu ya obama. Siamini kama haya ni kweli. Kama anaweza hadi kuongea iweje kukamatwa? Mbona zarqawi, al sadr, et al walipatikana? Osama anataka kumfanya nn wajina wake? (obama)