Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,478 Reaction score 3,659 Jun 6, 2009 #1 Juzi nimeangalia cnn nikaona eti osama anaongea juu ya obama. Siamini kama haya ni kweli. Kama anaweza hadi kuongea iweje kukamatwa? Mbona zarqawi, al sadr, et al walipatikana? Osama anataka kumfanya nn wajina wake? (obama)
Juzi nimeangalia cnn nikaona eti osama anaongea juu ya obama. Siamini kama haya ni kweli. Kama anaweza hadi kuongea iweje kukamatwa? Mbona zarqawi, al sadr, et al walipatikana? Osama anataka kumfanya nn wajina wake? (obama)