The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Chris hakumtania kwa maana ya maradhi. Alimtania kwa maana ya kunyoa. Jada amenyoa nywele zake na ile inamfanya kuwa na muonekano mzuri wa kucheza character ya G.I.Jane.Ila tukio la Jada kutaniwa maradhi yanayomsibu, wanawake na Dunia imekaa kimya ? Lakini mtu kuwa judged kwa tukio la muda huo kama kilichotokea kwa Will lakini siyo kumaanisha Will ni mtu mbaya sana. Bado tunaona ubaguzi upo na Waafrika bado fikra zetu inaonyesha kabsa roho za utumwa zinatutawala.
Sikubaliani na tukio la Will isipokuwa mtu yoyote angeweza ku_react na ndiyo maana tunaambiwa tuwe na "kiasi". Hiyo haimuondoi Will Smith kuwa ni msanii nguli. Ni vema wachekeshaji wakabuni mtindo mpya wa kuwasilisha ujumbe wa kwa mtindo tofauti.
Kama Ile kata funua Mbasha aliyo shushiwa au sio!Tena lile kofi kamsamehe tyuuh, ilibidi amkate mtama hadi kiuno kitenguke, mbwa yuleeee. Msieeeew.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haswaaa yaan lol.Kama Ile kata funua Mbasha aliyo shushiwa au sio!
Naona wanamuonea Will..Rock ndio alianza uchokozi hata ningekua mimi ama mtu mwingine lazima angekasirika.Ila tukio la Jada kutaniwa maradhi yanayomsibu, wanawake na Dunia imekaa kimya ? Lakini mtu kuwa judged kwa tukio la muda huo kama kilichotokea kwa Will lakini siyo kumaanisha Will ni mtu mbaya sana. Bado tunaona ubaguzi upo na Waafrika bado fikra zetu inaonyesha kabsa roho za utumwa zinatutawala.
Sikubaliani na tukio la Will isipokuwa mtu yoyote angeweza ku_react na ndiyo maana tunaambiwa tuwe na "kiasi". Hiyo haimuondoi Will Smith kuwa ni msanii nguli. Ni vema wachekeshaji wakabuni mtindo mpya wa kuwasilisha ujumbe wa kwa mtindo tofauti.
Kuna mijitu mibaguzi sana.Kwanini will smith ahukumiwe au ajadiliwe kwa rangi yake ya ngozi? kwanini ajadiliwe kwa uafrika wake? kwanini asihukumiwe yeye kama yeye? hilo tukio lingefanywa na mzungu lingemjadili huyu mzungu kwa uzungu wake au kwa rangi yake ya ngozi?
Chris rock Mimi simkubaligi mda sababu he is too personal ndo staili yake ya uchekehaji amewafanyia wengi Ila will Smith akaamua kuovereactingIla tukio la Jada kutaniwa maradhi yanayomsibu, wanawake na Dunia imekaa kimya ? Lakini mtu kuwa judged kwa tukio la muda huo kama kilichotokea kwa Will lakini siyo kumaanisha Will ni mtu mbaya sana. Bado tunaona ubaguzi upo na Waafrika bado fikra zetu inaonyesha kabsa roho za utumwa zinatutawala.