Oscar De La Hoya amtaka Errol Spence apande uzito ili amchallange Canelo.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
The Golden Boy Oscar De La Hoya amtaka Errol Spence apande uzito ili amchallange Saul Arvarez (Canelo) .Oscar De La Hoya amesema mbona Mickey Garcia alikubali kupanda uzito ili apambane na yeye (Errol Spence) sasa na yeye apande uzito ili apambane na Canelo .

Sababu kubwa alizozitoa Oscar ni pamoja na uwezo mkubwa ambao Errol Spence (The truth) ambao anao pia mbali na hilo,Spence ataweza kutengeneza pesa ndefu sana kama atakubali kupambana na Canelo.

Canelo ndiye boxer anayelipwa pesa nyingi zaidi kwa sasa kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata kwenye boxing ikiwemo kuwakalisha chini mabondia 14 ambao walikuwa tishio sana kama vile Lara,Amir Khan,Daniel Jacobs, Gennady Genadyevich Golovkin,Miguel Cotto n.k

Canelo amecheza michezo 55 amepoteza mmoja tu kwa Floyd Mayweather pekee, pia bila kusahau Floyd alimkalisha pia na huyo Oscar De La Hoya.

 
Wahusika uliowataja wote siwahui hata mmoja, msaada tafadhari watu hao ni wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…